DAR: Serikali imesema katika nusu ya kwanza ya mwaka 2017 kuanzia Januari hadi Juni, Pato la Taifa limekua kwa asilimia 6.8 ikilinganishwa na asilimia 7.7 ya kipindi kama hicho mwaka jana
-
Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango alipozungumza juu ya mwenendo wa uchumi wa Taifa, utekelezaji wa bajeti mwaka 2017/18, changamoto na matarajio na matarajio yake
-
Waziri Mpango pia amesema Serikali imefanikiwa kukusanya wastani wa Sh. trilioni 1.2 kila mwezi baada ya kuziba mianya ya Rushwa na Ufisadi na kuwataka Watanzania kujenga tabia ya kulipa kodi kwa maendeleo ya nchi.
Friday, 29 December 2017
SHARE
Author: Unknown verified_user
0 comments:
Post a Comment