Sunday, 28 January 2018

ALIKIBA alivyomtembelea mama yake Rais magufuli

SHARE

Jana January 27,2018 Staa wa muziki wa Bongo Fleva Ali Kiba alipost picha kupitia ukurasa wake wa Instagram na kushukuru kwa baraka alizozipata baada ya kumtembelea mama mzazi wa Rais Magufuli  akiwa  Wilayani Chato.


SHARE

Author: verified_user

0 comments: