Friday, 2 February 2018

TANZIA: mwanasiasa mkongwe mzee Kingunge Ngombale Mwiru amefariki dunia alfajiri ya leo.

SHARE
Mwanasiasa mkongwe Mzee Kingunge Ngombale Mwiru amefariki dunia alfajiri ya leo.
Mzee Kingunge alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kushambuliwa na mbwa nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam takriban mwezi mmoja uliopita.
M/mungu ailaze roho ya Mzee wetu mahala pema peponi Amin.

SHARE

Author: verified_user

0 comments: